Tuesday

SET YAMCHUKUA KIMWANA MANYWELE

SET YAMCHUKUA KIMWANA MANYWELE Mary Khamis amechukua nafasi ya mnenguaji Aisha Madinda aliyetimkia katika Bendi ya Extra Bongo.Mpaka kufikia hatua ya kumchukua Mary ni baada ya kuvutiwa na kiwango chake cha uchezaji kwa kuwa alionyesha kipaji cha hali ya juu cha uchezaji katika shindano la Kimwana wa Twanga Pepeta 2011 na hatimaye kuibuka mshindi wa kwanza katika shindano hilo lililoisha hivi karibuni.Aset ina amini hapo baadae atakuwa mmoja wa madansa hodari hapa Tanzania.
Cheap Sunny Health & Fitness Foot Massager

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.